JE UNAJUA SIKU YA LEO NDIO SIKU AMBAYO INAWAGONGANISHA PLIES NA MISSY ELLIOTT - BZONE

JE UNAJUA SIKU YA LEO NDIO SIKU AMBAYO INAWAGONGANISHA PLIES NA MISSY ELLIOTT

Share This
ENTERTAIMENT: Kutoka Marekani mbali na kuwa wote wanafanya muziki wa rap, Plies na mchanaji wenzake wa kike Missy Elliott katika kuzidiana miaka 5 kiumri kuna kingine kinawakutanisha na kuwafananisha siku zote za maisha yao.
Missy Elliott ni staa wa wimbo ‘Get Ur Freak On’ iliyofanya vizuri 2001 hadi 2002 na kufanikiwa kuchukua tuzo ya Grammy katika kipengele cha ‘Best Rap Solo Performance’ na Plies ni rapa aliyepata nafasi ya tuzo za Grammy na kuteuliwa kwenye kipengele cha ‘Best rap Performance’ na wawili hao wanashare siku moja ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
Plies amezaliwa kwa jina la ‘Algernod Lanier Washington’ Julai 01, 1976 na Miss Elliot amezaliwa kwa jina ‘Melissa Arnette Elliott’ Julai 1, 1971 ambao leo kwa pamoja wanasherehekea siku moja ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwao.

No comments:

Post a Comment

Pages