HIZI NDIO SHAMLA SHAMLA ZA HARUSI YA LIONEL MESSI LUIS SUÁREZ NA NEYMAR NDANI - BZONE

HIZI NDIO SHAMLA SHAMLA ZA HARUSI YA LIONEL MESSI LUIS SUÁREZ NA NEYMAR NDANI

Share This
MIX: Nyota wa klabu ya mpira wa miguu ya Barcelona, Lionel Mess jana amefanikiwa kufunga ndoa na Antonella Roccuzzo mrembo ambaye walikutana na kukua pamoja nchini Argentina.
Ni msaa machache yaliyopita  Messi alifanikisha ndoa na mrembo wake huyo ambapo Luis Suárez na Neymar walipata mualiko rasmi ili kushuruhia pingu za maisha wa wawili hao.
 wageni wangine waliopata mualiko ni idadi kamili ya watu 260 kwa mujibu wa ripoti ya Gazeti la ‘Clarín’ la Argentina.
Hata hivyo Messi ni mchezaji ambaye alizaliwa kabla ya wakati yaani injiti/kabla ya miezi 9 lakini akiwa ni mwenye umri wa miaka 8 aliwezachukuliwa  na kaanza kulelewa na kukulia katika kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu cha Barca ‘La Masia’.

No comments:

Post a Comment

Pages