Izzo Bizness - Rafiki ( Official Music Video ) - BZONE

Izzo Bizness - Rafiki ( Official Music Video )

Share This
MUSIC VIDEO: Izzo Bizness amekasirika na amelazimika kutema sumu kali kwenye jiwe jipya liitwalo Rafiki kuwachana snitches wote. Hii ni project yake ya kwanza akiwa mwenyewe tangu aanzishe kundi lake, The Amazing japo mrembo wake Abela Music hajamuacha anayesikika kwa ubora kwenye chorus yake.

No comments:

Post a Comment

Pages