Williams anatarajia kupata mtoto wa kwanza na mchumba wake, Alexis Ohanian. Serena Williams na Ohanian walichumbiana December mwaka jana na wanatarajia kufunga ndoa, baada ya mtoto wao kuzaliwa.

No comments:
Post a Comment