Chidinma amesema haya kwenye kipindi cha maswali na majibu na mtandao wa muziki wa Mdundo kupitia #MdundoTwitterview ya Mdundo music. 
Chidinma aliulizwa msanii gani anataka kufanya naye kazi East Africa na West Africa, East amemchagua Ali Kiba na West amemchagua Sarkodie.
No comments:
Post a Comment