Navy Kenzo - Bajaj (Official Music Video) ft. Patoranking - BZONE

Navy Kenzo - Bajaj (Official Music Video) ft. Patoranking

Share This
MUSIC VIDEO: Kutoka kwa Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo kwa mwaka huu ni wameweza kuachia album yao ya kwanza inayokwenda jina la ‘Above Inna Minute(AIM)’ iliyoingia sokoni rasmi mwanzoni mwa mwaka huu wa 2017 huku ikionekana kuendelea kufanya vizuri katika mitandao.

Kati ya wakali walioshirikishwa na kufanya vizuri katika album hiyo utaacha kumtaja mkali kati ya wakali wa Bongo Fleva Ali Kiba na wengine kibao bila kumsahau Partoranking kutoka Nigeria. Katika orodha ya ngoma 11 zinazopatikana katika Album hiyo video ya ngoma ya Bajaj iliyomshirikisha Partoranking imetoka rasmi.
Hata hivyo Nahreel na Aika kama Navy Kenzo wameshaachia video nne za ngoma kutoka katika album yao ya Above Inna Minute(AIM) ambazo ni Kamatia Chini, Bajaj, Feel Good na Morning.

No comments:

Post a Comment

Pages