JE WAJUA MAPACHA WA BEYONCE WALIZALIWA KABLA YA WAKATI - BZONE

JE WAJUA MAPACHA WA BEYONCE WALIZALIWA KABLA YA WAKATI

Share This
MIX: Mapacha wa Beyonce wanadaiwa kuzaliwa kabla ya wakati, kwa mujibu wa vyanzo vilivyozungumza na TMZ. Mtandao huo umesema watoto hao wapo ‘under the lights.’
Umesema Beyonce hakufikisha muda kamili wa kujifungua na kwamba hadi sasa bado yupo hospitali. Mapacha hao wanadaiwa kuwa ni wa kike na wa kiume. Bado JAY-Z na Beyonce hawajasema chochote kuhusiana na ujio wa watoto wao.

No comments:

Post a Comment

Pages