Jux ametumia vizuri nafasi hiyo katika siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake, Vanessa Mdee kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, unaoonyesha ni kiasi gani anamuheshimu na kumpenda mrembo wake huyo.
“Happy birthday
#eastafricanqueen @vanessamdee more life n God bless you mama #bestfemaleartist #moneymondays,” ameandika Jux katika mtandao huo.
Couple ya wawili hao ambao wamekuwa katika mahusiano kwa takriban miaka miwili sasa, imeonekana kuwavutia watu wengi.
No comments:
Post a Comment