CHEMBA: KUMFANANISHA RONALDO NA DYABALA TUNAONGOPEANA - BZONE

CHEMBA: KUMFANANISHA RONALDO NA DYABALA TUNAONGOPEANA

Share This
Image may contain: 1 person, smiling, standing, tree and outdoor#NA THOMAS NG'ITU
SPORTS: Kumfananisha Ronaldo na Dyabala katika fainali hii tunaongopeana kabisa... Dyabala Bado ana muda mwingi wa kucheza fainali hizi popote... Hii ni fainali ya Buffon na Ronaldo wote hawa kila mmoja aliwahi kuliona Chozi la mwenzake hawa ndio wanataka kufuta machozi yao ya nyuma..... Dyabala Bado ana muda wakucheza fainali hizi baadae ata asipokuwa na jezi za Juve.... Leo inaweza ikajulikana Buffon na Ronaldo wanamuda gani zaidi katika soka baada ya matokeo

No comments:

Post a Comment

Pages