DOGO JANJA ATOBOA JINSI ALIVOJARIBIWA KUSAWISHIWA NDANI YA GARI - BZONE

DOGO JANJA ATOBOA JINSI ALIVOJARIBIWA KUSAWISHIWA NDANI YA GARI

Share This
SPORTS: Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip top Connection nayefanya poa na ngoma yake ‘Ukivaaje unapendeza’ Dogo Janja ameweka wazi ni kipi ambacho hawezi kabisa kukifanya katika gari lake hata kwa ushawishi wa hali ya juu.
Akizungumza na b_base  Janja amegusia kuwa ingawa ameshawahi kushawishiwa ikashindikana amesisitiza kuwa kamwe hawezi kujihusisha na kimapenzi katika gari lake.

No comments:

Post a Comment

Pages