
Rapa huyo alionesha hitaji la kushiriki katika album ijayo ya 50 ambayo kwa mujibu wa alivyobainisha ilionekana kuwa ni muenedelezo wa album ya 2003 na kuonekana kuwa itakwenda kwa jina la ‘Get Rich Or Die Trying Party 2’.

“Nimemwambia 50 Cent kuwa nataka kushiriki katika album yake ijayo na itakuwa uhakika kufika mauzo ya platinum na kupanda #getrixhordietrying hebu tupate hii” Alipost Maelezo hayo yaliombatana kwenye Picha ya cover ya Album ya 50 Cent ya mwaka 2003 ya ‘Get Rich Or Die Triyin’. Hata hivyo Birdman na 50 Cent wanatajwa kuwa ni marapa na wafanya baishara wenye nguvu katika ulimwengu wa muziki hivyo ushirikiano wao unaweza kuwa ni wenye mafanikio zaidi katika wazo hilo la kushirikiano.
No comments:
Post a Comment