CHECKOUT JINSI G NAKO ALIVOFLOW KWENYE JENEZA - BZONE

CHECKOUT JINSI G NAKO ALIVOFLOW KWENYE JENEZA

Share This


MUSIC VIDEO: Msanii wa muziki Tanzania kutoka WEUSI Kampuni G Nako baada ya ushirikiano wa kazi ya pamoja na muimbaji Belle 9 project iliyotajwa kuwa na muendelezo iliyoanza na ngoma wa ‘Maole’ sasa G Nako amedondosha ujio wake mwingine ambahusisha umehusisha jeneza.

Ni video ya ngoma ya Luck Me ngoma iliyotayarishwa na mtayarishaji Slim Cipha Sound huku Mixing na Mastering ikikamilishwa na Chizzan Brain katika studio za B RECORD. Video chini ya uongozaji wa Hascana ngoma hiyo ya Lucky Me inamuonesha G Nako akiwa katika mazingira yenye tafsiri yenye utata hata kuonekana katika scene kadhaa akiimba ndani ya jeneza.
Kwa video hii G Nako inaweze kuwa kupitia wimbo wa huu wa ‘Luck Me’ ni moja ya kazi ambazo ametumia sanaa ya sauti na uwezo wa utunzi wake wa mashairi kufikisha ujumbe kwa nguvu ya video hiyo kwakuwa anaweza kuwa ni msanii wa kwanza Tanzania kutokea akiwa kwenye jeneza huku akiimba.

No comments:

Post a Comment

Pages