‘MOVE’ YA REEKADO BANKS ALIYOMSHIRIKISHA VANESSA MDEE HINAKIMBIZA CHATI ZA ITUNES - BZONE

‘MOVE’ YA REEKADO BANKS ALIYOMSHIRIKISHA VANESSA MDEE HINAKIMBIZA CHATI ZA ITUNES

Share This
ENTERTAIMENT: Tukiwa tunasubiria kolabo kutoka kwa Major lazor wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee, Vanessa ameamua kutubless na news kwamba ngoma ya “Move” ya Reekado aliyoshirikishwa iko nafasi ya kwanza kwenye itunes huko nchini Nigeria katika itunes top 100.
Move ya Reekado Banks ni ngoma ambayo inapatikana katika album ya “Spotlight” aliyoidropisha mwaka jana ikiwa na ngoma kibao, kupitia kurasa ya twitter ya Vanessa Mdee alitweet nafasi hiyo ya wimbo huo ambao unafanya vizuri katika Itunes, kwa kuandika Ayeee.

No comments:

Post a Comment

Pages