JOKATE MWEGELO ATUA KWENYE ORODHA YA UNDER 30 YA FORBES AFRICA - BZONE

JOKATE MWEGELO ATUA KWENYE ORODHA YA UNDER 30 YA FORBES AFRICA

Share This
ENTERTAIMENT: Mrembo, mjasiriamali na mwanaharakati, Jokate Mwegelo ametajwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017 katika jarida la Forbes Africa.
Jokate si Mtanzania pekee aliyeingia kwenye orodha hiyo bali ameungana na Lavie Make Up, mwanamke aliyejizolea umaarufu kwa kazi yake kupamba warembo.
“Looks whose on the cover of Forbes Africa with some other amazing young Africans doing amazing things to create wealth and transform our economies? God is so amazing,” ameandika Jokate kwenye Instagram.
“🙏🏽😩❤️🤧#Kidoti #MyAncestorsWouldBeProud #BeautyWithGuts #BeYou #EverythingIsPossibleGuys #UsisikilizeManenoYaWatu #KazaaMwendo #MunguYuMwema #WanaokudharauSikuMmojaWatakusalimiaKwaHeshima #Usengwile.”
Naye Lavie makeup ameandika: Lord am still in awe of your grace and blessings, Thank you Lord #forbes30under30#class of 2017✨✨.”

No comments:

Post a Comment

Pages