RAPPER 22 SAVAGE AMEAMUA JAMBO HILI KWA MASHABIKI ZAKE - BZONE

RAPPER 22 SAVAGE AMEAMUA JAMBO HILI KWA MASHABIKI ZAKE

Share This



Mix; Baada ya kuwa na maneno ya hapa na pale juu ya Rapper 21 Savage pamoja na 22 Savage, hatimaye 22 Savage ameamua kubadilisha jina lake la usanii.

Kupitia kurasa yake ya Twitter, 22 Savage ameamua kujiita Young 22 na kuwatambulisha mashabiki zake juu ya ujio huo mpya ambao ndio utakuwa ukitumika kwa sasa, bado haijajulikana ni kipi kimemfanya abadilishe jina hilo, ila cha haraka haraka tunaweza sema kwamba ni kwa kujulikana zaidi.

No comments:

Post a Comment

Pages