CHEKI NEYMAR ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WASHIKAJI ZAKE - BZONE

CHEKI NEYMAR ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WASHIKAJI ZAKE

Share This

SPORTS: Nyota wa BarcelonaNeymar jana alikuwa anasherehekea miaka 25 ya birthday yake ambayo ilikuwa inamshike mshike wa aina yake.
Jumapili ndio siku rasmi ambayo alizaliwa nyota huyo ila akaamua kuivuta siku mpaka jumatano ya jana kupiga party ya kufa mtu akiwa na mpenzi wake Bruna pamoja na wachezaji wenzake kama Messi, Suarez,Iniesta na wengine kibao.

Kitu kikubwa kilichovutia ndani ya party hiyo ni ile keki ya Neymar yenye gari la Batman, cheki picha za matukio hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Pages