MCHOMVU INK – MAN 2 MAN (LISTEN/DOWNLOAD) - BZONE

MCHOMVU INK – MAN 2 MAN (LISTEN/DOWNLOAD)

Share This
MUSIC: Achana na utani wa Ruge Mutahaba kwamba Adam Mchomvi hajui kuimba na vitu kama hivyo, niamini mimi. Nataka uniazime dakika zako 4 na sekunde 51 ili uweze kukiamini hiki ambacho nakwambia muda huu.
Ni bonge moja la project ambalo liko chini ya Mchomvu Ink, na round hii amevikusanya vichwa 9 vikali na vinavyofanya poa sana kwenye game ya music time hii. Ni Bill NassCountry BoyPinkStereoYoung KillerStoshStaminaDebby pamoja na Nyandy Tozi.
Ngoma inaitwa Man 2 Man, producer ni Rash Don. unaweza ukaisikiliza na kuidownload direct kwa kubonyeza hapo chini Enjoy nayo.
https://music.audiomack.com/tracks/bbase-onpoint/man-2-man-perfect255com.mp3?Expires=1486024581&Signature=IF~iNvp1VbVj0sm3kij7dhQjELU8Za4Herg67OOX9xXeVmbwIloQ~X9gI2vm~DDO56cWxp0HxiReFTxi-g1wIesdNX0yfeGsQXyIhch6v2XaU1mUU-yxcJOcZKt9AJY2OtJD9ZDYDl5nH0c4Fg94nkrEhRPwgR1WXfkkAfjil9c_&Key-Pair-Id=APKAIKAIRXBA2H7FXITA

No comments:

Post a Comment

Pages