ENTERTAIMENT: Diamond Platnumz anaamini kuwa malengo yake yanazidi kutimia. Moja wapo ni kuhakikisha kuwa jina lake linavuka kutoka kujulikana Afrika tu na kwenda mabara mengine hasa Ulaya na Marekani.
Kupitia wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, taratibu anaanza kukanyaga. Blog maarufu inayomilikiwa na 50 Cent, Thisis50 imeipa shavu video ya wimbo huo.
Hiyo inakuwa mara ya kwanza kwa video ya wimbo wa hitmaker huyo kuwekwa kwenye blog maarufu ya burudani pekee nchini Marekani. Pamoja na hivyo tayari ameanza kupata interview na vituo vya redio vya Uingereza, ikiwemo PulseRadio.
Home
Unlabelled
‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo yatua kwenye blog ya 50 Cent
‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo yatua kwenye blog ya 50 Cent
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.


No comments:
Post a Comment