Hizi ni kanuni 5 za Wolper kwenye mahusiano - BZONE

Hizi ni kanuni 5 za Wolper kwenye mahusiano

Share This
ENTERTAIMENT: Wolper amezidi kutupa jiwe gizani. Mrembo huyo ameweka kanuni zake tano za mahusiano.

Muigizaji huyo tangu alipodai kuwa hayupo kwenye mahusiano na Harmonize, amekuwa akitumia mtandao wa Instagram kutoa ushauri kwa watu wengine kuhusu mapenzi.
Kupitia mtandao huo, Wolper ameandika kanuni hizo ambazo ni:
1. Stay faithful (kuwa mwaminifu)
2. Make them feel wanted
3. Respect your partner (muheshimu mpenzi wako)
4. Don’t flirt with others (usijitamanishe kwa wengine)
5. Make time (tenga muda)

No comments:

Post a Comment

Pages