ENTERTAIMENT: ivi unaelewa nini ukisikia neno Muziki Mzuri!? Kabla hujanijibu nataka nikupe nafasi ya kumsikiliza mkali wa rap na hitmaker wa ngoma kibao hapa Bongo Roma Mkatoliki yeye anawaza nini anaposikia neno Muziki mzuri.
“Muziki mzuri ni ule ambao unaweza kugusa hisia zako, unaoweza kuiamsha mishipa yako ya fahamu huo ndio muziki mzuri.”
Kiurefu na kiufafanuzi zaidi play hii video hapa chini kumsikiliza Roma Mkatoliki akifunguka juu ya hilo.
No comments:
Post a Comment