BILL NASS ATOA AHADI HII ENDAPO ‘MAZOEA’ ITAFIKISHA VIEWS MILIONI 1 KWA MUDA MFUPI - BZONE
demo-image

BILL NASS ATOA AHADI HII ENDAPO ‘MAZOEA’ ITAFIKISHA VIEWS MILIONI 1 KWA MUDA MFUPI

Share This
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Hit maker wa ‘Mazoea’ Bill Nas, afunguka juu ya ngoma yake kutazamwa mara nyingi kwa kipindi cha muda mfupi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameahidi kutoa ngoma mpya endapo tu video ya wimbo wake mpya wa Mazoea utatazamwa zaidi na zaidi na kufikia idadi ya watazamaji (Views) Milioni Moja.
Mpaka sasa video ya Mazoea ya kwake Billnass kupitia channel yake ya youtube imeshatazamwa zaidi ya mara 540,726. Huwenda ukawa ndiyo wimbo wa kwanza wa rapper huyo ukaweza kufikisha views milioni 1 kupitia mtandao wa YouTube kwa kipindi cha muda mfupi.
Billnass kwenye instagram yake amewaomba watu waendelee kuitazama na kutoa ahadi hii.
bill-nas
.
Ujumbe wa Bill Nass ulisomeka hivi.. “Shukran Sana…Ndugu Zangu…..Sio Mbaya Kwa Week Mbili Hizi….Tuendelee Ku View Ikifika Mill hata Kesho Natoa Wimbo Mpya So Click that Link On My Bio… #supportMzikiMzuri #MAZOEA”.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages