Good news kutoka kwa Ben Pol, Jana Feb 4, amedropisha kichupa cha ngoma hiyo ‘Phone’ akiwa na Mr Eaz. Chupa la ngoma hiyo limeongozwa na Hanscana ikiwa imefanyiwa Dar es salaam.
Mkali wa RnB Tanzania Ben Pol, ambae aliachia ngoma yake akiwa na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inayoitwa ‘Phone‘, nakupata mapokezi mazuri kwa mashabiki pia kufanya poa kwenye redio mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment