Kama kawiz leo jumamoosi ya February 4 ni jumla ya michezo 8 ambayo inatarajiwa kurindima katika viwanja tofauti tofauti nchini England leo hii katika muendelezo wa ligi kuu nchini humo.
- Chelsea vs Arsenal (Saa 9:30 Alasiri)
- Crystal Palace vs Sunderland (Saa 12:00 Jioni)
- Evertone vs AFC Bournemouth (Saa 12:00 Jioni)
- Hull City vs Liverpool (Saa 12:00 Jioni)
- Southampton vs West Ham united (Saa 12:00 Jioni)
- Watford vs Burnley (Saa 12:00 Jioni)
- West Bromwich Albion vs Stoke City (Saa 12:00 Jioni)
- Tottenham Hotspurs vs Middlesbroud (Saa 2:30 Usiku)
Sasa ujue mchongo uko vipi? Niachie utabiri wako katika game ya leo ya Chelsea vs Arsenal, nani anakufa leo hii? Ikiwa kwenye game yakwanza Chelsea alikufa kwa bao 3-0. Niandikie utabiri wako hapa chini kwenye comments.
No comments:
Post a Comment