Tumeshaunza mwaka mpya wa 2017 na mwezi wa kwanza tumeshaumaliza, licha ya kuzidi kusonga mbele katika mafanikio mengine, Cristiano Ronaldo anakila sababu ya kufurahia kuwa namba moja kwenye listi ya wanamichezo waliongiza mkwanja mrefu mwaka 2016.
Baada ya kushinda Champions League na Euro 2016 ndani ya uwanja, Cristiano Ronaldoamekuwa shujaa kwa kumshuhudia kunyakua Ballon d’Or pamoja na Best FIFA Men’s Player
Kupitia taarifa ambayo imetolewa na Forbes za wanamichezo ambao wamefanikiwa kuingiza mkwanja mrefu kwa Mwaka 2016, Cristiano Ronaldo amefanikiwa kushika namba moja na kumpiku mpinzani wake Lionel Messi.
Wengine wanaofuatia kwenye listi ni nyota wa mchezo wa NBA, Lebron James akiwa ameshikilia nafasi ya tatu kwenye top 20 hiyo
1) Cristiano Ronaldo (Football) – £70.6million
2) Lionel Messi (Football) – £65m
3) Lebron James (Basketball) – £61.9m
4) Roger Federer (Tennis) – £54.4m
5) Kevin Durant (Basketball) – £45.1m
6) Novak Djokovic (Tennis) – £44.6m
7) Cam Newton (American Football) – £42.5m
8) Phil Mickelson (Golf) – £42.3m
9) Jordan Spieth (Golf) – £42.2m
10) Kobe Bryant (Basketball) – £39.9m
11) Lewis Hamilton (F1) – £36.8m
12) Tiger Woods (Golf) – £36.2m
13) Eli Manning (American Football) – £36m
14) Joe Flacco (American Football) – £35.6m
15) Tom Brady (American Football) – £35.7m
16) Floyd Mayweather (Boxing) – £35.2m
17) Rory McIlroy (Golf) – £34m
18) Russell Wilson (American Football) – £33.4m
19) Sebastian Vettel (F1) – £32.8m
20) Philip Rivers (American Football) – £30.4m
No comments:
Post a Comment