Liverpool inataka ilipwe paundi milioni 20 ili kumuachia beki huyo raia wa Ufaransa.
Sakho na Kocha Jurgen Kloop ambaye ni wa Ujerumani wanaonekana kutoelewana kabisa.
Wakati dirisha la usajili linakwenda ukingoni , inaonekana juhudi zinafanyika
No comments:
Post a Comment