Emmanuel Adebayor atua ligi kuu ya nchini Uturuki - BZONE

Emmanuel Adebayor atua ligi kuu ya nchini Uturuki

Share This
SPORTS: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor amesajiliwa na klabu ya Istanbul Basaksehir inayoshiriki ligi kuu ya nchini Uturuki.
Adebayor ambaye ana umri wa miaka 32, amekuwa hana klabu ya kuitumikia tangu aondoke Crystal Palace msimu uliopita, amejiunga na timu hiyo inayoshika nafasi ya pili katika ligi kuu Uturuki kwa mkataba wa miezi 18.

No comments:

Post a Comment

Pages