ENTERTAIMENT: Rihanna ameamua kuwasuprise mashabiki wake kwa ujio wa movie yake ya “Ocean’s8″.
Kupitia kurasa yake ya Twtiiter Rihanna aliamua kushare picha ya ujio wa Movie yake mpya ambayo amekuwa nayo bize kwa muda mrefu, inaonekana kama imeshakuwa tayari na ujio huo unatajwa kuachiwa mwakani.
No comments:
Post a Comment