Neymar ndani ya kikosi cha Kombe la Dunia.. - BZONE

Neymar ndani ya kikosi cha Kombe la Dunia..

Share This
Kocha wa Brazil Tite ametaja majina 23 ya wachezaji ambao wataunda kikosi ambacho kitashiriki kwenye msimu wa kombe la Dunia Urusi.



Vijana wa Tite watakutana na Switzerland ndani ya siku 34 kwenye mchezo wao wa kwanza kwenye Kundi E na wana kikosi ambacho kina vipaji na Uzoefu mkubwa sana.

A return to fitness for Neymar means he will spearhead Brazil's attack in their bid for glory

Nyota wa Brazil Neymar baada ya mda kidogo sasa amerudi akiwa yupo vizuri na mbali ya kutocheza kwenye klabu yake yani PSG nyota huyu wa Samba bado anatarajiwa kucheza kwa nguvu kama ilivokuwa mwanzo kwenye nchi yake kwenye michuano hii.

This is the complete squad selected by Tite to fire the Selecao to World Cup glory this summer

Daktari wa Brazil Rodrigo Lasmar alisema kwenye mkutano uliofanyika Rio De Janeiro amewafanyia vipimo Neymar wikiendi na matokeo yalikuwa Positive na kuonesha yupo vizuri.

Tite suggested that Barcelona's Philippe Coutinho may replace Renato Augusto centrally

Manchester City inawawakilishi wanne kwenye kikosi hiki cha Brazil akiwemo golikipa Ederson, beki Danilo kiungo Fernandinho na mshambuliaji Jesus. Wachezaji wengine wanaotoka kwenye ligi ya Uingereza ni pamoja na Robert Firmino wa Liverpool pamoja na mshambuliaji Willian wa Chelsea.

That would allow Brazil to give a wide starting berth to Chelsea's in-form winger Willian

Swali kubwa watu wanalo jiuliza ni kwamba nani ataenda kuziba pengo liloachwa na Alves!!



HIKI NDIO KIKOSI KAMILI CHA WACHEZAJI 23 WA BRAZIL.

Goalkeepers: Allison, Ederson, Cassio

Defenders: Danilo, Fagner, Marcelo, Filipe Luis, Thiago Silva, Marquinhos, Miranda, Pedro Geromel 

Midfielders: Casemiro, Fernandinho, Paulinho, Fred, Renato Augusto, Philippe Coutinho, Douglas Costa, Willian 

Strikers: Neymar, Taison, Gabriel Jesus, Roberto Firmino



No comments:

Post a Comment

Pages