
Kylie Jenner ambae ana umri wa miaka 20 ajashtuswa kabisa kwa Tyga kutoka na Iggy labda walivoachana ndo sababu kubwa ya yeye kutoshtushwa kabisa na bado anaamini kuwa bado kuna mambo anatakiwa kuweka sawa.

Kupitia vyanzo vya habari vinasema Kylie anataka kwasasa Tyga aweke mambo ya uhaminifu sawa kwanza ndio hapate mchumba mpya na kuendelea na maisha mengine na mbali na matatizo yake anatakiwa kuw mwaminifu sana.

Kylie anajua kwamba ni jinsi gani ilivyo ngumu kwa Tyga kuwa na mchumba kwasasa mbali na ujasiri wake aliokuwa nao kwa Tyga.

Ikumbukwe tangia walipo achana na Tyga sasa Kylie anatoka na Travis Scott mwenye umri wa miaka 26 na siku zote amekuwa akimtakia maisha yenye furaha Ex wake huyo.
No comments:
Post a Comment