Hii ndio kauli aliyotoa Hamisa Mobetto juu ya kuoelwa na Diamond. - BZONE

Hii ndio kauli aliyotoa Hamisa Mobetto juu ya kuoelwa na Diamond.

Share This

Hamisa Mobeto ambaye MSANII  wa filamu nchini na  pia ni model  amefunguka baada ya kuhojiwa kuhusu tetesi za mipango ya ndoa yake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Afro Pop, Diamond Platinumz na kusema mwenye majibu sahihi kwa sasa ni Diamond.


Hayo ameyasema usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City kwenye uzinduzi wa Short Film ya MAMA iliyoandaliwa na msanii Aunt Ezekiel.


Aidha, Mobeto amethibisha kurudiana na Diamond kama ambavyo taarifa zilizkuwa zikisambaa mitandaoni, ambapo pia amesema kurudiana kwao kumetokana na uvumilivu wake

No comments:

Post a Comment

Pages