
Kupitia chombo cha habari cha Fox kimetuhumu kwamba Tite na Co wanachora kikosi bila kuwa na mchezaji mwenye michezo 106 baada ya kujikuta kwenye majanga mazito.

Siku baada ya kupata majeruhi msemaji wa Brazil aliongea na ESPN na kusema "Dani Alves amepata majeraha ya goti alipokuwa anacheza mchezo wa kombe la Ufaransa kwenye fainali vipimo vilivyo fanywa vinaonesha itachukua mda kupona jeraha ilo ambapo inaitaji angalau wiki tatu na kuendelea"

Kwa kipindi hiko cha wiki tatu kombe la Dunia litakuwa teyari limeshaanza nchini Urusi
No comments:
Post a Comment