ULIKUWA NI UZURI WA KUTISHA, WE MUACHE HAWE HURU NDANI YA DIMBA... - BZONE

ULIKUWA NI UZURI WA KUTISHA, WE MUACHE HAWE HURU NDANI YA DIMBA...

Share This
Pogba puts his hand to his ear after stunning the Manchester City crowd on Saturday evening with his quickfire braceNdio kifo chao cha kwanza wakiwa nyumbani tangia msimu wa  2016 kwenye ligi na kipindi kile inanikumbusha ile Manchester City ya zamani ile ambayo ilikuwa ya nguvu ya soda.

Chris Smalling won the game for Manchester United as they came from two goals down to beat Manchester City 3-2

Wachezaji wa City waliingia kwa mbwembwe jana uwanjani wakiwa na watoto zao wakiwashikilia mikono yao ikiwa inamaanisha wapo teyari kwajili ya kushangilia ushindi lakini matarajio yao yaliyayuka ghafla.

Pual Pogba shocked the Etihad as he equalised for the visitors in the 55th minute after being 2-0 behind at half-time

City walikuwa watu wenye kulia kwa uchungu  kwa kuvunjiwa rekodi yao ya kuchukua ubingwa wao wakiwa wamebakiza michezo sita.

Ashley Young was lucky not to give away a penalty with the score at 3-2 after he made contact with Sergio Aguero

Ulikuwa ni uzuri wa kutisha kwa Sir Alex Ferguson pale Sergio Auguero alipowanyima ubingwa kwa mkwaju wake wa mwisho msimu ule wa 2012 lakini akiwa anaangalia kipindi cha kwanza akiwa jukwani pale Etihad anaweza akawa kioo cha hatari sana, afadhali kwa mda huu walikuwa kwenye mbio za kukimbiza ubingwa. Hapa ata aikuitaji uchawi hapa ilikuwa ni ufundi wa kisoka.

Ilkay Gundogan doubled City's advantage in just the 30th minute to put the hosts into dreamland early on at the Etihad

Na Paul Pogba ile style aliokuja nayo ya nywele zake kwa Gary Neville alianza thibitisha zile taarifa za watu wanazodai ya kuwa Pogba kashuka kile kiwango chake kwa mda huo huo ili chukua hatua mbele na mchezaji wa United hakutaka kabisa sikia maneno ya watu wanayo zungumza na kuwaonesha kuwa wanakosea hasa pale alipo badilishabmchezo ndani ya sekunde 97, ile Volley tamu  na nzuri kutoka kwa Chris Smalling baada ya kufanya kosa lile la kwanza na wakafanikiwa kushinda.

Pogba is brought down by City defender Danilo during the opening stages of the eagerly-anticipated fixture

United walijaribu kulisimamia na kujipanga kutotaka kudhalilika kabisa na kulinda heshima yao, Mourinho pale alipo waangamiza Liverpool  kwenye matumaini ya kuchukua ubingwa na sasa zamu yao huku akisisitiza kuwa tucheze kama sis ndio tumevishwa kofia ya ubingwa Jumamosi haikuwa rahisi sana kwa timu hizi mbili lakini ilikuwa ni mipango tu hasa kwa Pogba.

England international Smalling wheels off to celebrate United's third goal of the Manchester derby on Saturday

Ndio sawa ni magoli mawili hasa kwa kiungo kwenye mechi kubwa kama hii lazima itabakia kwenye kumbu kumbu ya vichwa vya watu haswa kwa mashabiki Mourinho alinikuliwa akisema ‘Anatakiwa ajiamini zaidi kwasababu anajua nini anachokifanya, najua alikuwa na kiwango kisichotulizisha na sio kwa hatua aliokuwa anayo Paul’

Tensions heated up near the end of the heavyweight clash between the rivals with United narrowly leading City 3-2 

Bado Pogba, siku zote akiwa kati kati ya washambuliaji huwa anateka hisia za watu wengi amefanya kile tulio wengi tulikuwa tunakisubiria kutoka kwake  zaidi ya miezi 20 aliushika mchezo kwenye kipindi cha pili.

Goli lake la kwanza heshima apewe Sanchez ambae alimuokota vizuri Otamendi akimuwekea Herrera kwa ufundi kwenye kile kifua kilichomuona Pogba na kuingia kambani baadya ya sekunde 97 baadae akawa anashangilia usawazishaji ambao uliwakutanisha 2-2 mda huu sasa ni yeye mwenyewe akiupata mpira mzuri uliotokea kwenye eneo la kiungo akiweka kambani kwa kichwa kilicho na umakini mwisho wake ilipo timia dakika ya 69 tukaanza kuzungumza mengine baada ya kumalizia mpira uliokufa na kurekebisha makosa yake hapa namuongelea Chris Smalling.

Smalling taps home the dramatic winner following Alexis Sanchez's free-kick in the 69th minute at the Etihad Stadium

No comments:

Post a Comment

Pages