GRIEZMAN AMKATALIA RONALDO.. - BZONE

GRIEZMAN AMKATALIA RONALDO..

Share This




Antonie Griezmann ameiokoa Atletico Madrid kwa kuipa alama kwenye derby yao na Real madrid lakini matokeo haya yanazidi kuwapa upendeleo viongozi wa ligi hiyo Barcelona.




Cristiano Ronaldo aliipeleka Real moja kwa moja kwenye ufunguzi wa nyavu lakini Jan Oblak mpira ulipokuwa unakuja kwenye pembe yake ya goli baada ya Sergio Ramos kusokomeza kupitia kona huku Toni Kroos akikataliwa kwa kile kilichoweza kuonekana penati baada ya kudondoshwa ndani ya box.



kwa upandee mwengine Diego Costa angekuwa amejipatia goli baada ya kuchezewa vibaya na Sergio Ramos huku Varane akikataliwa na uwokozi safi kutoka kwa Oblak. Marcelo yeye aligongesha besela kwa  shuti lake kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika.




madrid Derby siku zote inakuaga ya kutisha na kusisimua lakini hii ya leo haikuwa na msisimuko sana kwa mashabiki. 



Sio mbaya kwa matokeo waliyotoka nayo japo wapo nyuma ya Barcelona akiwa anaongoza kileleni na hakukuwa na chochote cha zaidi ili kuweza kuwazuia wakatalunya hawa.



Real Madrid watakutana na Juve kwenye mchezo wa marudiano ya klabu bingwa ulaya siku ya Jumatano huku Atletico Madrid watasafiri kuelekea Ureno kwenye mchezo wa marudiano pia kwenye Europa ligi dhidi ya Sporting Lisbon ni michezo muhimu sana kwa wote wawili.

No comments:

Post a Comment

Pages