Phil Neville alituambia kwamba kazi moja wapo kwa Arsenal hasa pale Oktoba 2004 pale yeye na Gary na Paul scholes walikuwa wakipewa kazi ya kutembea na winga wa Kihispania Jose Antonio Reyes.
Hapa ndio tulikuwa tunaona mapigano ndani ya uwanja na kwenye benchi na ndio kitu ambacho tulichokuwa tuanakipenda sana na ndo hapa mwelekeo wa kila mchezaji alipokuwa anakuja juu kunakuwa kunabakia ghafi na ukweli siku zote ile hisia ya udhalimu bado ilibakia kwa Wenger ambapo United walikuwa wakichukua vichwa vikubwa sanan Duniani.
Kwa kesi ya Reyes tuliweza kuwaona Arsenal wakicheza michezo 49 bila kupigwa na kuliendelea kuleta utata lakini washika mitutu walikuwa na mgawanyo wa ukali na uchokozi.
Na ndio ilikuwa nafasi ya kuifanya Arsenal wamalize wakiwa maarufu kwa kumaliza msimu bila kupigwa, siku zote kazi kubwa ilikuwa pale wanapokutana pande hizi mbili kwenye dimba la Old Trafford. Kutoka kwenye 0-0 mashetani wekunde walipewa heshima ya utata kwa kupewa penati kwenye dakika ya 90 pale Keown alimdondosha chini Ruud Van Nistelrooy kwenye box.
Lakini wachache wanaweza walikuwa hawakutarajia kwamba penati hiyo, Mda huo kulitokea mgawanyiko kwa Scholes hapa ndio tunapata maswali mengi juu ya wachezaji wa United kama hii ndio kama fashion kwao.
Wenger na Ferguson ni moja ya makocha wenye heshima kubwa sana Duniani vizazi na vizazi tokea miaka ya 90 hasa walipokuwa wanakutana ni moto ulikuwa unawaka hakuna asiyejua hilo hivi unamkumbuka Vieiraa alipokuwa anakutana na nahodha mwenzake Roy kean asee ni hatari sana.
Ngoja kidogo nirudishe akili yako nyuma kidogo hii ilikuwa sio uwanjani wala kwenye lile handaki la kuingia uwanjani wanapokuwa wameweka mistari na hii ndio ilikuwa "Battle of Old Trafford"
No comments:
Post a Comment