MANCHESTER UNITED, TOTTENHAM, NEWCASTLE UNITED NA EVERTON ZIMEINGIA KWENYE MBIO ZA KUMNASA BEKI RYAN BERTRAND KUTOKA SOUTHAMPTON. - BZONE
demo-image

MANCHESTER UNITED, TOTTENHAM, NEWCASTLE UNITED NA EVERTON ZIMEINGIA KWENYE MBIO ZA KUMNASA BEKI RYAN BERTRAND KUTOKA SOUTHAMPTON.

Share This
Manchester United na Tottenham ni moja kati ya timu ambazo zinamnyemelea beki wa Southampton Ryan Bertrand msimu ujao.

DahzFD8XUAAi98d

Kutoka kwenye gazeti la Sun Bertrand anajiandaa kuondoka Southampton huku akitaka kwendakumaliza soka lake kwenye vilabu kama United, Spirs, Newcastle au Everton ambao wote wanamtolea macho kitasa huyo wa kushoto.

Dab5UFwXkAAmS3r

Akiwa na kiwango cha kujitegemea yeye binafsi Bertrand ambae anathamani ya Pauni milioni 25 anamichezo 19 ya Uingereza aliyoweza kucheza na hatakua na matumaini ya kuweza kujiunga na kikosi cha Southgate kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

DacMBQeX0AIjMKz

United wanaonekana kuwa kiapumbele kwa kumnasa beki huyo wa kushoto wakionekana kupwaya upande wa kushoto huku Luke shaw akiwa bado ajaelewa hatma yake kwa Jose. Mda huo tukija kwa upande wa Spurs tunaweza tukaona ubavu wa kushoto umeshikiliwa na Ben Davies ambaye bado ajakizi ile kasi iliokuwepo kwenye ligi kuu ya Uingereza huku Danny Rose akiwa na yeye pia anatazamiwa kwenda United kama United watamkosa Bertrand.

DakmK0rUMAAJNzv

Akiwa uzoefu mkubwa wa kucheza Ligi kuu ya Uingereza kwenye upande wa ukabaji na pia anao uzoefu mkubwa kwenye kushambulia.

DaiRjFoXcAEBxFl

Southampton kwa mda huu wanaonekana wapo kwenye eneo la hatari ambapo mda wowote wanaweza wakashuka daraja huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi dhidi ya Crystal Palace ambapo wao wakiwa nafasi ya 16 na Southampton wakiwa kwenye nafasi ya 17 wakiwa wamezidiwa alama 3 tu.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages