
Yaliongelewa mengi hapa kati kushuka kwa nyota wa Real Madrid huku wengine wakidai kwamba anaondoka na kuelekea PSG nakwenda kumalizia maisha yake Ufaransa.
Hizo fununu na maneno ata haya kumuumiza Ronaldo kichwa sasa anamiaka 33 na bado anaendelea kufanya miujiza. Kijana huyu kutokea Real Madrid ni mashine inayofufuka kila mda.
Akiwa na magoli 14 kwenye michezo sita ya mwisho kwa Real Madrid na mawili kwenye mda wa ziada kwa Ureno siku ya Ijumaa usiku ni kama miaka ilee ya zamani...
Siku hizi anafanya tofauti wakati kipindi kile alikuwa anafumua mawe akitokea winga na siku hizi anafanya ule uchafu wake wote akiwa ndani ya chumba, takwimu zinatuambia Ronaldo kwa mda huu anachenga chache za mpira kwa kila mechi.
Na mda huo huo eti yeye ni mkabaji na sio kwa kujiamini huku ujasiri uliomfanya kubeba klabu bingwa Ulaya mara nne na ambae amepata magoli 12 kwenye msimu huu mpaka hivi sasa.
Kwa kifupi baada ya kushinda kwenye goli lake la kwenye msimu huu ndani ya La liga ripoti kutokea Uhispania Ronaldo ni kama kuna kitu aliwaambia wachezaji wenzake kwenye timu.

Mreno huyu amejirudisha yeye mwenyewe Hispania 2017-2018 kuwa mfungaji bora huku Lionel Messi akimtngulia kwa magoli 25 huku akimpumulia kwenye shingo akiwa na magoli 22 huku ikituonesha bado yupo kwenye mbio.

Siku baada ya Mohamed Salah kushinda magoli manne kwenye ligi kuu dhidi ya Watford Ronaldo nae akarudia ile tabia yake ya kupiga mengi mengi dhidi ya Girona kwenye La liga.

Ebu angalia yale magoli yale magoli mawili aliyoshinda dhidi ya Misri Ijumaa akifuta ufunguzi wa Salah vyoye vikiwa vichwa mwisho ikawa Salah 1 Ronaldo 2 kazi imeisha.
No comments:
Post a Comment