HIVI UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WAMEKUWA WAZURI TANGIA MCHEZAJI WAO BORA 'COUNTINHO' ALIVOONDOKA. - BZONE

HIVI UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WAMEKUWA WAZURI TANGIA MCHEZAJI WAO BORA 'COUNTINHO' ALIVOONDOKA.

Share This
Jurgen Klopp mwanzoni alijua ni ujinga kumuuza Countinho, lakini aliamini kwamba bila yeye angefanya vizuri japo haikuwa rahisi kutafsiri na kufanya bora iende tu.

Klopp alinukuliwa akisema "Siku zote binadamu tunafanyiana kazi wote kwajili ya kusaidiana, najua atukufanya makosa kwasababu nao walikuwa wakimuhitaji kwa mda huo huo. 

"japo kulikuwa na mfano wa mchezo kwetu sisi ulikuwa mbaya pale tulipotoa majukumu yote kwa Phil na ilikuwa ni mechi ya ugenini dhidi ya Tottenham atuwezi kufanya hivo tena inatufanya sisi kwasasa kuwa makini sana tukiwa uwanjani"

Japo mwanzoni kwenye nyuso yake alikuwa anaonekana mtu mwenye huzuni anae iona timu yake inaenda kufa pale alipokuwa anampoteza mchezaji wake bora kocha huyu wa Kijerumani hawezi kuwa na furaha pale wachezaji wake watakapo kumbuka uwepo wa Philipe Countinho wakiwa uwanjani ata mazoezini.


"Phil ni mchezaji ambae alikuwa akitawala mchezo pale alipokuwa uwanjani, lakini dhairi ilionekana siku zote akiwa hayupo tulikuwa tunatakiwa kufanya kazi ya ziada na tofauti na kuweka majukumu kwenye mabega tofauti na kusambaza katikati ya wachezaji.

"huwezi kuwa na uhakika kama itafanya kazi ni wiki chache tuu na kiukweli nina furaha na vitu wanavovifanya vijana wamejiongeza na pale walipokuwepo"

Klopp sasa amethibitisha bila Countinho Liverpool bado ni timu ile ile, Liverpool wataenda kuminyana na Newcastle jumamosi jioni wakiwa wanajitazama kuwa kwenye kiwango kile kile  tangia Countinho aondoke.

Na Klopp alisisitiza kuwa kwasasa Manchester City ndie bingwa na bado anaamini timu yake inaelekea muelekeo mzuri kuwapa changamoto City.

No comments:

Post a Comment

Pages