PEP GUARDIOLA NI MWOKOZII WA SOKA LAKINI ANAWEZA AKAWA KIJANA MKOROFI - BZONE

PEP GUARDIOLA NI MWOKOZII WA SOKA LAKINI ANAWEZA AKAWA KIJANA MKOROFI

Share This
Sababu ya Pep Guardiola kumpa busu shavuni Raheem Sterling ilikuwa ni kumfariji mcheza huyo ni dhairi anampenda sana.

Au kwa ile ujumla wa akili anaotumia Pep Guardiola...!! kuabudu au kupenda kitu anachofanya Pep sio mbaya kwa mtu yeyote.

Analeta mpira wa kisasa kwenye soka la Uingereza akiwa na Manchester City na sasa tunaanza kujua nini maana ya Special one na nani anafaaa kuwa Special one.

Ngoja tusimfanye akawa mada kuu.

Vihishilia vilikuwepo pale ambapo chama cha soka kilipo amua kumkumbusha majukumu yake baada ya kushambuliwa na mchezaji kutokea Southamton Nathan Redmond mwishoni mwa mchezo  uliopigwa Novemba  na ikaonekana kuwa Pep angeweza kumchukua silaha hiyoo.

Ah ilikuwa ni shauku tuu kutoka kwake kwa kazi alioifanya.

Redmond inabidi ashukuru sana maana ni nadla.

Jumapili iliopita ndani ya Cardiff hasira za Pep zilikuwa zimetulia. pale kipenga cha mwisho alijua ni changamoto kubwa sana kutoka kwa Joe Bennett, kama itaweza kuitwa changamoto itakuwa inamaanisha Leroy Sane atakosa michezo kadhaa ndani ya mwezi.

sio hivo tuu kwa sehemu hiyoo alijua kwa hali alieyekuwa nayo inaweza ikawa mbaya zaidi. Ata pale alipotoka uwanjani akuacha kulalamikia kile kilichotokea.

Guardiola hakuacha kukosoa wahamuzi wa mchezo huo hasa hasa alipeleka lawama kubwa kwa Bennett kwa kitendo alichofanya kwa kumpa kadi ya njano Mason.

Yani hata mimi ningekuwepo au wewe ingekuumiza sana kuona lile tukio lilo tokea uwanjani.

Lakini FA hata halija mkumbusha majukumu yake mda huu.

Anachokitaka Guardiola haki kwa wote ndani ya uwanja na anataka Refa ndo hawe ndio mlinzi mkubwa kwa kuwalinda wachezaji uwanjani ki upole na kiukali.

Hiko ni kipande tuu  ebu kumbuka ule mchezo wa West Bromwich Matt Philips kwa tukio alilofanya na ailkuonwa bali la Fernandinho ndio likaonwa.

Majanga dhidi ya wachezaji wa City yamezidi sasa na Guardiola lawama kubwa ni kwa marefa, mbali hayo kucheza haina ya mpira ambao ameleta kwenye hii ligi unakupa viwango visvyo sahihi kwenye akili yako.

Ndomana wengi wetu tutameza ule mstari ambao unasema Guardiola hana mda mrefu kwenye sahani ya Riyad Mahrez na sio baada ya kupata majeraha Sane.

Hii ndio sababu kila mmoja anapenda kitambaa chake. Ndomana tunampenda kwasababu atujawahi kuona kiwango cha mpira kama hiki kinachochezwa kwenye michezo kwa timu moja kwenye miaka hii ya karibuni.

Ukubali ukatae Pep ni mwokozi kwakweli.

Lakini tusisahau anaweza akawa kijana mtukutu na jeuri.

No comments:

Post a Comment

Pages