 Diego Costa ameweza kushinda goli lake la kwanza ndani ya dakika ya tano tangia arudi kwenye kikosi cha Atletico Madrid.
Diego Costa ameweza kushinda goli lake la kwanza ndani ya dakika ya tano tangia arudi kwenye kikosi cha Atletico Madrid.Mshambuliaji huyo alitakiwa kusubiria mpaka kwenye mkimbizano wa copa del Rey na Lleida baada ya kusubiria kifungo chake cha usajili kufunguliwa.
Juanfran alifanya vizuri chini upande wa kulia na kupandisha mpira kwa Costa na kuuweka kimiyani. Mbali na kupokea mpira alipata kizuizi kidogo wakati akishinda goli lake na alitakiwa apate huduma hapo kwa papo kwenye goti lake.

Diego Godin alipata mapema ufunguzi kwa Atletico kabla ya Fernando Torres kuongeza lingine baada ya dakika chache.
kama ulipitwa na hii usiache kuangalia.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment