Van Dijk ameonekana rasmi baada ya kutinga uzi wa Majogoo baada ya kuanza kufanya shoot ya picha mchezaji huyo wazamani southampton na celtic.
Mholanzi huyo alimaloza uhamisho wake wiki iliyopita na kumaliza dili ilo baada dirisha la usajili kufunguliwa.
Van Dijl alikuwepo kwenye dimba la Melwood tangia kwenye mchezo wa liverpool siku ya Jumamosi walio menyana na Leceister city na kutoka na ushindi wa 2-1.

kupitia kwenye ukurasa wa www.liverpool.com aliweza kusema "Nina furaha ya kuwepo hapa na siwezi kukaa kusubiria kuanza kucheza kwa furaha niliyokuwa nayo"
"Naona kitu cha umuhimu ni ukubwa wa klabu, utamaduni, wachezaji na kocha bila kuwasahau mashabiki ambao wanafanya klabu ionekane yenye thamani."

'kwa historia hii kwenye klabu na kila kitu kilichopo ndani yake ata kwenye sehemu ya mazoezi na wafanya kazi wake ni safi sana na washakuwa sehemu ya familia yangu'
Mholanzi huyo atakuwepo kwenye mchezo wac liverpool dhidi ya Everton kwenye kombe la FA januari 5.
No comments:
Post a Comment