Camila Cabello alifananisha kundi la Fifth Harmony na One Direction - BZONE

Camila Cabello alifananisha kundi la Fifth Harmony na One Direction

Share This
Baada ya kujitoa kwenye kundi la Fifth Harmony, mwimbaji Camila Cabello ameongea na jarida la Rolling Stone nakusema hataki kuongelea sababu za kujitoa kwenye kundi hilo sababu ata haribundoto zao.
Cabello alitoka Fifth Harmony mwaka 2016 na amekuwa na mafanikio makubwa kupitia nyimbo kama “Havana” huku akisubiri ujio wa album yake ya Camila, 
Cabello anasema kujitoa Fifth Harmony ni kama kilichotokea kwenye kundi la One Direction, wasanii kujitoa na kufanya mambo yao kama solo, mashabiki pia hawakutegemea hilo kwao, ndio kama kwetu pia.

No comments:

Post a Comment

Pages