Klabu zote zilikuwa zikiviziana na kuwindana huku wakisomana kwa kiundani zaidi na kiungo wa West Bromwich Albion akitolewa kipindi cha pili.
West Brom waliweza kupata uongozi kwa kipndi cha kwanza kwa shuti lilio mbabatiza James McClean lakini Carrol alianza kwa mara ya kwanzabaada ya mwezi kwa kupiga kichwa chenye nguvu kabla ya kutafuta ushindi ndani ya dakika nne za mwisho kabla mpira haujaisha.
‘Magoli mawili mazuri toka kwa mshambuliaji wa kati’ alisema Moyes huku timu yake hiki panda juu kwenye msimamo wa ligi.
‘Kipindi cha pili walionesha mchezoo na jinsi mchezo ulivyokuwa mgumu na tukamaliza mchezo’
No comments:
Post a Comment