VINCENT KOMPANY ASUMBULIWA NA MAJERUHI MAPYA, YAMLAZIMU KUTOKA MAPEMA KWENYE MCHEZO WAO DHIDI YA NEWCASTLE. - BZONE

VINCENT KOMPANY ASUMBULIWA NA MAJERUHI MAPYA, YAMLAZIMU KUTOKA MAPEMA KWENYE MCHEZO WAO DHIDI YA NEWCASTLE.

Share This
Kompany limped off less than 10 minutes into City's Premier League clash with NewcastleSPORTS: Nahodha wa City Vincent kompany amepata majeruhi mapya mengine ambayo yatamlazimu kukaa nje ya kikosi cha Manchester City, imekuwa ni kipindi kirefu sana kwa mlinzi huyu wa city akisumbuliwa na matatizo tofauti ya majeruhi.Manchester City captain Vincent Kompany has suffered yet another injury setback

Kompany alitolewa ndani ya dakika 10 kwenye wa City waliokipiga dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa ligi kuu uingereza katika dimba la St James' Park usiku wa Junatano akiwa na tatizo la goti.

Mbeligiji huyo hanaonekana kuwa na maumivu makali sana huku akionekana akisumbuliwa na mawazo mengi sana kwenye kichwa chake na mtu aliyekata tamaa.
Nafasi yake iliweza kuchukuliwa na Gabriel Jesus.Kompany suffered a calf strain only six minutes into the match on Wednesday night

Aliweza kuwapungia mkono mashabiki wa City wakati anatoka nje ya uwanja na kukabidhi kitambaa cha unahodha kwa Fernandinho.

Kiungo huyo wa kibrazili aliweza kuja kuziba pengo la beki wa kati pamoja na mshambuliaji Jesus kuingia kwake alifanya tuone usawa wa Mangala kwenye kikosi akiwa kama mzibaji wa pengo la Kompany.

Kompany amesumbuliwa na majeruhi 18 tofauti tangia ajiunge na City 2009 majeuhi makubwa yanayomsumbua sana ni misuli ya paja, goti na nyonga.

No comments:

Post a Comment

Pages