SPORTS: Pale timu inapoonekana kama mabingwa na nyingine ikiwa inaonekana kama watafutaji heshima. Manchester United waliweza kuzuia vizuri, walishindana hawaku haibishwa kabisa au Manchester waliweza kuchukua nafasi kubwa kwenye mchezo huo Man city msimuuu wanaonekana kuwa hatari sana.
Walikuwa wamepungukiwa tuu tena sana walipungukiwa. Sio kwa ubora waliokuwa wanao City na ndomana karibia nusu msimu wote wameweza kuachwa nyuma kwa alama 11.
Huku droo ya klabu bingwa ulaya ikipangwa leo kuerekea hatua ya 16 bora leo ndio itatuoneshabtaswira haswa kwa City, kuna timu nzuri kwenye ligi kuu hii imekuwa kwa mara ya kwanza kwa uingereza kupeleka timu tano kwenye hatua ya mtoano.
Kati ya hizo bado hazijaonesha kiwango walicho nacho City kwa sasa hata hao United wenyewe. Kwambio za ubingwa zipo wazi kabisa itakuwa ni ngumu sana kufanya utofauti. Inaweza ikasemwa kama United walimkosa Paul pogba na baadhi ya walinzi lakini City nao walikosa walinzi pia. Hakuna mchezaji wa United aliecheza kwenye kiwango chake cha kawaida ambapo inaweza kulinganishwa na Raheem sterling, David Silva, Kevin De Bruyne, Leroy Sane hata Gabriel Jesus.
United wana washambuliaji wenye nguvu sana lakini sio kwa walivo city lakini United hawana msukumo au tamaaa ya kutamani ubingwa. Kama isingekuea Ederson alieweza kufanya na kupangua mikwaju miwili langoni na kukimbia kichapo na kutoka 2-2.
Home
Unlabelled
MAN UNITED NA MOURINHO HAWAJA DHARILISHWA LAKINI WALIJIKUTA WAMEDONDOKEA VIWANGO VYA CITY
MAN UNITED NA MOURINHO HAWAJA DHARILISHWA LAKINI WALIJIKUTA WAMEDONDOKEA VIWANGO VYA CITY
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment