HUU UJUMBE NI KWA COUNTINHO? GWIJI RONALDO AMEWATUPIA LAWAMA BARCELONA JINSI WANAVYOWAFANYIA WABRAZILI - BZONE

HUU UJUMBE NI KWA COUNTINHO? GWIJI RONALDO AMEWATUPIA LAWAMA BARCELONA JINSI WANAVYOWAFANYIA WABRAZILI

Share This
Ronaldo amewatupia lawama Barcelona juu ya uhamisho wa Philippe Countinho.

Namba 10 ya majogoo amekuwa kwenye kiwango kizuri kwenye misimu miwili mbali na kukataliwa kwa dili lake kufanyika dirisha la usajili lilopita.

Lakini mbali na malalamiko yake gwiji wa kibrazili aliekuwa akivaa namba 9 akisema mashabiki wa Real Madrid walimfanya yeye mwenyewe kujisikia vizuri kuliko mda wake ndani ya catalonia.

“Nilijisikia ninafuraha sana na nilikuwa nimepata kiunganishi kikubwa na Real Madrid mbali kuwa na mwaka mzuri ndani ya Barcelona,” Ronaldo aliwaambia Esporte Interativo “ mwishoni historia yangu na Barca ilikuwa mbaya, sawa na kwa mmoja wetu Neymar alivopitia”

“Barcelona wamekuwa siku zote na vitu visivyo sahihi na wachezaji wa kibrazili: Neymar, Romario, Ronaldinho na mimi.
“ Tulikuwa tuandeshwa vibaya na klabu mwishoni, mbali na michango yetu yote.”

Labda Countinho anaweza akafanya chaguo kwa kuchukua ushauri wa Ronaldo kubakia na kuendelea kuonekana akiwa na majogoo au haendeleee kufanya mazungumzo na Barca huku mkataba wake bado unanguvu ambao unaisha 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages