ARSENAL WAMEKUBALI KULIPA ADA YA PAUNI MILIONI 35 KWA STEVEN N'ZONZI HUKU KIUNGO WA SEVILLA ANAONEKENA KUKAMIRISHA USAJILI WAKE WA KUHAMIA EMIRATES JANUARY.... - BZONE

ARSENAL WAMEKUBALI KULIPA ADA YA PAUNI MILIONI 35 KWA STEVEN N'ZONZI HUKU KIUNGO WA SEVILLA ANAONEKENA KUKAMIRISHA USAJILI WAKE WA KUHAMIA EMIRATES JANUARY....

Share This
Arsenal have 'agreed' a £35million deal for Steven N'Zonzi, according to reports in SpainSPORTS: Arsenal wamekubaliana Sevilla kwa ada ya pauni milioni 35.3 kwa kumnyakua kiungo wa sevilla Steven N'zonzi kulingana na taarifa kutokea uhispania.

Gazeti kutokea uhispania El Gol limesema alikuwa mchezaji wa zamani wa ligi kuu uingereza ambae anakarbia kununuliwa kwa ada ya pauni milioni 35.3 inaweza ikamalizwa dili ilo fkwenye dirisha dogo la usajili Januari.N'Zonzi has not featured for Sevilla since their Champions League clash with Liverpool 

Arsenal wanampango wa kumdondosha mfaransa huyo kwenye dimba la Emirates. N'zonzi ambae amethibitisha binafsi  kuwa anataka kuondoka kwenye klabu hiyo ya nchini hispania  ambae kwa siku za karibu anaonekana kutopangwa kwenye kikosi cha kwanza.

Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 28 kwasasa  hali yake ndani ya sevilla imeonesha ni jinsi gani anavotaka kuondoka na akiwindwa na vilabu kadhaa balani ulaya ukijumuisha Everton na Juventus na Arsenal pia .

Lakini kwasasa inaonesha kuwa Arsene Wenger amefanya mahamuzi ya kumnyakua kiungo huyo wa zamani wa Stoke na Blackburn.

No comments:

Post a Comment

Pages