Mahudhurio ya kawaida kwenye dimba ka Emirates huwa ni 58,285, mbali na kazi kubwa iliofanywa na mashabiki wa kigeni lakini namba ya watu ilionekana ikiwa chache sana.
uchangamsho ukaja ghafla kwa mashabiki wa Asernal pale golikipa Milan Borjan alipo upoteza mpira miguuni ulio rushwa kwenye kipindi cha kwanza.
Nani alijua ndani ya mda mchache kungekuwa na kelele ndani ya usiku wa burudani kama ule?
Red Star wao walikuja kwa kazi moja tuu na kazi yenyew ni kuzuia na walikua wepesi na wenye haraka balaa wakiwa na mshambuliaji Boakye ambae alikosa baadhinya nafasi kwenye goli la wenyeji.
Walimpata Matt Macey, golikipa chaguo la tatu wa Asernal aliweza kusimama imara Macey aliweza fanya moja ya uhokozi makini katika kipindi cha kwanza kumkatalia Vujadin Savic.
Kwa juhudi iyo aliweza kufanikisha na kuiwezesha timu yake kuendelea hatua ya 32.
‘Watu waliweza kuipa support timu; alisema Wenger “lakini atukuona magoli na wamezoea kuona magoli wakiwa Emirates. Inashangaza sana et atukushinda lakini tunaelewa pale unapokuwa na wachezaji wadogo kwenye timu lazima utegemee matokeo kama haya, ni moja ya sehemu ya kujifunza kwa vijana hawa hasa wanapo pata nafasi ya kucheza michezo kama hii. Tutaendelea na mzunguko na tunataka kucheza kila mashindano'
'Kwa ujumla tulikuwa tumepungukiwa kidogo kwenye ubora, malengo pale tuanapopata mpira wa mwisho na kupata nafasi sahihi au kutafuta na mwisho wake tukapata sare ya 0-0.'
'Red Star walistahili kurudi Serbia huku wakiwa na alama. Mashabiki wao waliweza kusambaza sauti uwanjani na wachezaji wao wakapata morali na kumpa nguvu golikipa wao ambae aliweza kuokoa mikwaju miwili mizuri kutoka kwa Olivier Giroud kwenye kipindi cha kwanza' Alisema Wenger.
No comments:
Post a Comment