CHIEF SCOUT WA ARSENAL STEVE ROWLEY ANAJIANDAA KUJIUZULU AKIWA NA 35 NDANI YA ARSENAL. - BZONE

CHIEF SCOUT WA ARSENAL STEVE ROWLEY ANAJIANDAA KUJIUZULU AKIWA NA 35 NDANI YA ARSENAL.

Share This
SPORTS: Chief scout wa Arsenal Steve Rowley ambae amefanya kazi na klabu kwa miaka zaidi ya 35 yupo kwenye njia ya kutoka katika ligi kuu ya uingereza.

Rowley ameongea na machief scouts wa vilabu vingine na kuwaambia imetosha sana. Muongeajibwa klabu alisema Jumatano usiku na akasema maisha yake kwenye klabu yapo ukingoni.
Arsenal chief scout Steve Rowley is on the brink of leaving the Premier League outfit
Mbali na hiyo Rowley hana uhusiano wa karibu sana na Arsene Wenger ambae alimfanya Rowley kuwa chief scout mwaka 1996, ambae amekuwa akilaumiwa kufanya vibaya kwenye soko la uhamisho na mauzo ya wachezaji.

No comments:

Post a Comment

Pages