MOURINHO HATAKIWI KUIWAZIA MANCHESTER UNITED, ANATAKIWA KUWA NA WASI WASI JUU YA PEP GUARDIOLA JINSI ANAVOPANGA KIKOSI CHAKE, - BZONE

MOURINHO HATAKIWI KUIWAZIA MANCHESTER UNITED, ANATAKIWA KUWA NA WASI WASI JUU YA PEP GUARDIOLA JINSI ANAVOPANGA KIKOSI CHAKE,

Share This
SPORTS: Ni rufaa ya utulivu au? Jose mourinho hanayo matumaini makubwa ndani ya nafsi yake, je anafakilia hanao utulivu ambao utakao mpa mafanikio ndani ya msimu huu akiwa ndani ya United.Manchester United boss Jose Mourinho put his fingers to his lips at full-time on Saturday
Kidole chake kilichokuwa kwenye mdomo kilichoonekana moja kwa moja kwenye camera baada ya kipenga cha mwisho, Mourinho alikuwa anawakumbusha wale waliokuwa ndani na nje ya klabu kwamba bado kuna safari ya kwenda, suluhu moja au kufungwa ndani ya Oktoba kusilete uvunjaji ndani ya mioyo.

"Unatakiwa kufurahia mpira; alisema 'Usiseme seme sana mda wote  kwasababu unatarajia matukio yatakayo wapa watu wasi wasi mda wote."

Tunawatakia mema, kama itakuwa hivi msimu mzima. Mema kwao pale watakapo kutana na city ambao wapo kwenye moto usiozimika.

Unazani sare waliopata united dhidi ya Liverpool ndio ilio leta mtazamo tofauti ambapo sio kwa mchezo walio nao Manchester city? Unazani kile kipigo walichopata dhidi ya Huddersfield ili leta mtazamo tofauti je wakikutana na City?Mourinho was vindicated in his decision to introduce Anthony Martial as a late substitute
Itakuwa vipi..! Hasa pale United katika mchezo wake unaofata watakapo kutana na Chelsea ambao ni mabingwa watetezi kama wakifanikiwa kuwapiga apo ndio mtazamo wetu tulioanza kuuona mwanzo utarudi, kwasasa wamezidiwa alama.mbili na vinara wa ligi hiyoo.

Dhidi ya Spurs United walimudu mchezo vizuri lakini kipindi cha kwanza walionekana sio United tunao wajua lakini kipindi cha pili walionekana.kubadilika na kuumaliza mchezo vyema.

Romelu Lukaku aligongesha nguzo kwa kichwa kikali kabla ya dakika mbili ajampelekea mpira Anthony  Martial na mabadiliko hayo yaliweza kumshinda  Hugo Lloris kwa kumpiga goli.

Mourinho alisema "Ningependa kujua kwanini mashabiki hawapendi kumpa usaidizi Lukaku  kwa sababu anatupa kila kitu; alisema ' mimi naona sio vizuri pale unaposhinda goli au ushindi goli ndio linaloweka tofauti zote."The Portuguese boss barks instructions at Old Trafford as Antonio Valencia takes a throw-in

' mimi binafsi sielewi kabisa, hivi hawa ni mashetani wekundu kweli? Saa nyingine sijui kabisa kwasababu washambuliaji wetu wanafanya kazi kubwa sana, tulitakiwa tucheze na mabeki watatu wakubwa kabisa  wakati na walitakiwa kufanya jukumu la kuzuia, huku  washambuliaji  wakatupa utatuzi wakututoa kwenye hali ya uoga kwa kushinda.'

No comments:

Post a Comment

Pages