BARCELONA WAMESHAMSAHAU NEYRMAR KWAJILI YA UMAHILI WA LIONEL MESSI, KWAHIYO ANAENDA TAFUTA GOLI LA 40 KWENYE MSIMU AKIWA NA MIAKA 30 - BZONE

BARCELONA WAMESHAMSAHAU NEYRMAR KWAJILI YA UMAHILI WA LIONEL MESSI, KWAHIYO ANAENDA TAFUTA GOLI LA 40 KWENYE MSIMU AKIWA NA MIAKA 30

Share This
SPORTS: Pale Barcelona ilipo poteza robo ya tatu ya MSN msimu huu, inaacha mshangao jinsi ukubwa uliekuwepo kwenye La liga

Pauni milioni 198 uhamisho wa kwenda Paris sanit-Germain ilikuwa ni hasara lakini Barca bado hawajapoteza mtu  kwa ukubwa na umahili wa Lionel Messi.Lionel Messi will go into the game against Atletico Madrid with an average of 1.6 goals a game

Messi ameshinda magoli 11 kwenye mechi saba za La liga, Mwanzo wa msumu huu umekuwa mkubwa sana, wanaenda kukutana  na Atletico Madrid siku ya leo Jumamosi. Anaweza kufikisha. Magoli 40.

Msimu wa 2011-12 Messi alifikisha magoli 50 ya ligi, 2012-13 alipata magoli 46 na misimu miwili akashinda magoli 43 ndani ya misimu miwili msimu uliopita alikuwa akikaribia huku akiwa na magoli 37.Not only is he inspiring Argentina, but he is helping Barcelona to forget the exit of Neymar

Mchezo wao zidi ya Atletico katika dimba la Metropolitano leo Jumamosi usiku wiki iliopita alionesha kwamba yeye ni tegemo kubwabkwenye kazi kubwa, ni siku tatu zilizopita mshambuliaji huyo mwenye miaka 30 aliipeleka Argentina kwenyebkombe la dunia 2018

No comments:

Post a Comment

Pages